
Mpendwa karibu katika channel ya MuPhilip Media Injili kwa Wote. Channel hii ni mahususi katika kueneza habari njema (Uinjilishaji wa neno la Mungu)kurusha Misa Takatifu ndani ya Kanisa Katoliki na kuwaletea mafundisho mengine ya imani Katoliki,na mashangilio mengine ya kiroho kama ndoa na utume wa kwaya za kikatoliki. Karibu na Subscribe,Like,Share matukio uungane nasi kufanya utume. #MUPHILIP MEDIA - INJILI KWA WOTE# MAKUBURI,MAKOKA,MWANZA#MBEYA#SONGWE#NA POPOTE TUTAKUFIKISHIA HABARI NJEMA.